Nenda kwa yaliyomo

Fyuzi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Fyuzi kwa lugha ya kiingerza (fuse) ni kifaa cha usalama kinachotumiwa katika mifumo ya umeme kuzuia mkondo wa umeme mkali (excessivelectricity current) ambao unaweza kuharibu vifaa vya umeme au kusababisha hatari ya moto. Fyuzi hufanya kazi kwa kuvunjika au kuyeyuka kwa sababu ya mkondo wa umeme mkali, hivyo kuzuia umeme usiendelee kufika kwenye vifaa vilivyowekwa nyuma yake.'
 
No edit summary
 
(marekebisho 3 ya kati na watumizi wengine 2 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Tektronixoscilloscope442backfuse-ccbysawikipedia.jpg|thumb|Fyuzi ilivyo.]]
Fyuzi kwa lugha ya kiingerza (fuse) ni kifaa cha usalama kinachotumiwa katika mifumo ya umeme kuzuia mkondo wa umeme mkali (excessivelectricity current) ambao unaweza kuharibu vifaa vya umeme au kusababisha hatari ya moto. Fyuzi hufanya kazi kwa kuvunjika au kuyeyuka kwa sababu ya mkondo wa umeme mkali, hivyo kuzuia umeme usiendelee kufika kwenye vifaa vilivyowekwa nyuma yake.
'''Fyuzi''' (kutoka [[Kiingereza]] ''fuse'') ni [[kifaa]] cha [[usalama]] kinachotumiwa katika mifumo ya [[umeme]] kuzuia [[mkondo wa umeme]] mkali (excessive electricity current) ambao unaweza kuharibu vifaa vya umeme au kusababisha hatari ya [[moto]].

Fyuzi ni ambao hufanya kazi kwa kuvunjika au kuyeyuka kwa sababu ya mkondo wa umeme mkali, hivyo kuzuia umeme usiendelee kufika kwenye vifaa vilivyowekwa nyuma yake.
{{mbegu-teknolojia}}
[[Jamii:vifaa]]
[[Jamii:umeme]]

Toleo la sasa la 07:41, 11 Juni 2024

Fyuzi ilivyo.

Fyuzi (kutoka Kiingereza fuse) ni kifaa cha usalama kinachotumiwa katika mifumo ya umeme kuzuia mkondo wa umeme mkali (excessive electricity current) ambao unaweza kuharibu vifaa vya umeme au kusababisha hatari ya moto.

Fyuzi ni waya mdogo ambao hufanya kazi kwa kuvunjika au kuyeyuka kwa sababu ya mkondo wa umeme mkali, hivyo kuzuia umeme usiendelee kufika kwenye vifaa vilivyowekwa nyuma yake.

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.