Nenda kwa yaliyomo

Fyuzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 15:45, 10 Juni 2024 na Tomson G Wiston (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Fyuzi kwa lugha ya kiingerza (fuse) ni kifaa cha usalama kinachotumiwa katika mifumo ya umeme kuzuia mkondo wa umeme mkali (excessivelectricity current) ambao unaweza kuharibu vifaa vya umeme au kusababisha hatari ya moto. Fyuzi hufanya kazi kwa kuvunjika au kuyeyuka kwa sababu ya mkondo wa umeme mkali, hivyo kuzuia umeme usiendelee kufika kwenye vifaa vilivyowekwa nyuma yake.')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Fyuzi kwa lugha ya kiingerza (fuse) ni kifaa cha usalama kinachotumiwa katika mifumo ya umeme kuzuia mkondo wa umeme mkali (excessivelectricity current) ambao unaweza kuharibu vifaa vya umeme au kusababisha hatari ya moto. Fyuzi hufanya kazi kwa kuvunjika au kuyeyuka kwa sababu ya mkondo wa umeme mkali, hivyo kuzuia umeme usiendelee kufika kwenye vifaa vilivyowekwa nyuma yake.