Nenda kwa yaliyomo

Bergen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.

Bergen ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Norwei. Mji una wakazi takriban 262,500 kulingana na makisio ya 31 Julai 2011.[1] Bergen ni kitovu cha ngazi ya utawala ya jimbo la Hordaland. Maeneo ya Mji Mkuu wa Bergen kama yalivyoelezwa na Statistics Norway, una wakazi 386,400 ifikapo 31 Julai 2011.

Marejeo

  1. "Population per 1 April 2011 and population changes during 1st quarter of 2011. Hordaland". Ssb.no. 2011-04-01. Iliwekwa mnamo 2011-06-08.

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bergen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.