Nenda kwa yaliyomo

Samani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.
Fanicha katika picha.

Samani (far. سامان) (pia: fanicha, ing. furniture) ni neno la kutaja aina ya vitu kama viti, meza na kabati.

Kwa maana nyingine, samani au fanicha ni kama viti vilivyopo ndani ya nyumba na watu wanaweza kutumuia kwa kukalia, kulalia na vinginevyo vinavyotumiwa kwa kuwekea vitu vidogo kama nguo au vikombe. Samani huundwa kwa kutumia mbao, vipande vya mbao, ngozi, gundi au parafujo (yaani screws) n.k.