Nenda kwa yaliyomo

Aramide

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aramide ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa Afro-soul kutoka Nigeria. Aramide alishinda utendaji bora wa sauti (mwanamke) kwa "Iwo Nikan" katika tamasha la Headies 2015. [1]

  1. "Aramide Biography". Aramide. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-09-25.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aramide kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.